shabbyDAR! R.I.P MKALI WA FREESTYLE ALBERT MANGWEAR inauma sana bt mola hana makosa!!!
Msanii wa muziki aina ya bongo fleva ambaye ametambulika sana kwa nyimbo zake kali km nipeni dini masela na nyingine nyingi lkn leo majira ya asubuhi imeripotiwa kupoteza maisha dah ina tia hudhuni sana kwani saa yetu hivi sasa inakumbwa na matatizo maana hivi juzi tumempoteza mkongwe wetu bi kidude na hivi sasa vijukuu vyake vinafuata, inasemekana amefarariki huko south africa dahhhhh nashndwa ata kusema inaniuma sanaaaa!
0 comments :
Post a Comment