Mtoto Jamal enzi za uhai wake
mwili wa marehemu JAMALI ukishikiliwa na polisishahidi aliyeshuhudia tukia la kinyma hilomtu aliyetenda tukio hilo ambaye naye ni marehemuwakazi wakiwa wanashuhudia eneo la tukiowakazi wakiwa katika simanzi zito!
Manager mkongwe kwenye muziki wa bongo fleva Mkubwa Said Fella
ameonekana kuchukizwa na kitendo cha PNC Kupiga magoti na kuomba msamaha
ilikurudishwa kwenye lebel ya Mtanashati na mmiliki wake Ostaz Juma Wa
Musoma.
Said Fella aliandika Hivi Instagram.
“Sijaielewa hii picha wadau hivi nikweli tz au nje ya nchi shino na
meneja wake wa mziki huu wa bongo frevar jamani mnao hitaji kujifunza
umeneja naomba mnitafute niwafundishe busara kuusu mziki kweli vijana
wetu (wasanii)kuna mda wanazingua lakini tusitumie nguvu ya mifuko yetu
kudhalilisha wenzetu milango nimeiacha wazi mje mjifunze”
Kupitia Facebookpage ya sammisago ambayo ni
www.facebook.com/sammisago2 pia watu wameonekana kukerwa na picha za PNC
Kuonekana akipiga goti kwa Ostaz Juma.
0 comments :
Post a Comment