HUU NDO UJIO MPYA WA ELIZABETH MICHAEL (LULU)
msanii huyo ajulikanaye km elizabeth michael a.k.a lulu kaja kwa style mpya toka atoke jera kwa kesi ya kusababisha kifo cha msanii mwenza bila ya kukusudia,ALISEMA "nimepoteza sana muda pindi nilipokuwa jera so wacha nifanye yangu kwani maisha yanavikwazo sana!

CONVERSATION

0 comments :

Post a Comment

Back
to top