SHEDDYCLEVER KUHAMISHIA STUDIO KARIBU NA MLIMANI CITY KISA (KTMA) !!!!!! (SOMA chanzo haPA)



TANGAZO

@sheddyclever ambae ni mmiliki wa studio ya @burnrecordz anapenda kuwatangazia kua studio yake ya @burnrecordz ilio kua maeneo ya tabata dar west kwa sasa haipo tena na hakuna yeyote anaehusika na @burnrecordz aliopo tabata tafadhar OGOPA kutapeliwa kwa njia moja au nyingine. STUDIO ya @burnrecords kwa sasa ipo jirani na mlimani city itafunguliwa lasmi tarehe 21/julai/2014 Kwa wasanii,wadau,wageni wote mnakaribishwa kwa mawasiliano zaidi +255654067053 Asanteni saana na karibuni wote,,,!

CONVERSATION

0 comments :

Post a Comment

Back
to top