Wakongwe hawa wa miziki wa bongo flava hapa nchini wameamua kuvuka boda na kwenda kuimba na mkali kutoka nigeria ili wapate kuweka history ktk maisha yao,kwa mm naweza kuser\ma hii ni hgatua nzuri kwa kuwa wasanii wetu wengi huwa wanatamba ndani ya nchi nna cyo nje ya bongo so mungu awe nao vijana hawa na maisha memw katika safari yote ya muziki wao!
0 comments :
Post a Comment