ShabbyDAR: JE UNAJUA KILICHOMFANYA LANGA ATUMIE COCAINE!

Hivi karibuni tumpoteza mkali wa cocacola au tumuite mkongwe wa hiphop ajulikanaye kwa jina la umaarufu kama langa lakini9 wengi sana wanahisi kuwa alikufa kwa ajiri ya madawa ya kulevya lakini swali ni vp!
        je kwanini vijana wanajiingiza kwenye utumiaji wa madawa ya kulevya,utumiaji wa madawa ya kulevya kwa vijana hutokana na matatizo mbalimbali ikiwemo stress au ugumu wa maisha lakini kwa langa ilikuwa tofauti kidogo maana kuhusu pesa,family ya langa ipo juu kidogo kwa kipato je nn kilichomfanya ajiingize kwenye maqtumizi ya madawa ya kulevya! nijibu kupitia my EMAIL au my CONTACT SMS iliyopo hapo juu!

CONVERSATION

0 comments :

Post a Comment

Back
to top