HAYA NDO MANENO ALIYOONGEA SHARRF HAMAD.MAKAMU RAIS ZNZBAR KWENYE MKUTANO WA CUF SAHIHI KWELI.(TUDUMISHE AMANI)


" Wananchi , katiba haikubaliki kwa Wazanzibar, mimi mwenzenu siikubali sijui nyinyi wenzangu, katiba hii haina maslahi kwa Wananchi wa Zanzibar na hatuitaki". Maneno hayo amesema Katibu mkuu wa CUF ambaye pia ni Makamu wa Rais wa kwanza wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad
Nini maoni yako katika hilo

CONVERSATION

0 comments :

Post a Comment

Back
to top