HUYU NDO MSANII WA RnB CHIPUKIZI ANAYEFANYA VIZURII SANA TANZANIIA (MD PLANT) Unknown 06:22 Add Comment Edit msanii wa RnB tz,anayeitwa mussa daudi,kwa jina la usanii MD PLANT,Amefanya mixTAPE ya kwaqnza na sasa anajiandaa kutoa mixtape nyengine mpya ambayo ime include wasanii wakubwa.kaa tayari kuona kazui nzuri kutoka kwake
0 comments :
Post a Comment