LULU AMWAGA CHOZI JUU YA KABURI LA KANUMBA


huyu ndo lulu ambaye alitembelea kaburi la bwana wake marehemu ST CHARLES KANUMBA siku 3 baada ya kutoka jela mhhh inatia hudhuni lakini msanii huyo lulu alimwaga chozi la ghuba na la simanzi kwasababu hadi sasa anahisi kuwa yupo kwenye usingizi mzito wenye ndoto mbalimbali kifupi kuwa ajakubali ali harisi ilkiyoko sasa MUNGU MJALIE BI dada huyu aishi kwa upendo kama watu wengine na mlaze mwenzetu kwenye pepo yako AMEEN!

CONVERSATION

0 comments :

Post a Comment

Back
to top