ALIYEKUA MPIGA TUMBA WA TWANGA PEPETA (SOUD MOHAMMED) AFARIKI DUNIA

Aliyekuwa mpiga tumba wa Bendi ya Twanga Pepeta Soud Mohamed alimaarufu kama MCD amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.

Kwa mujibu wa kiongozi wa Bendi ya Twanga Pepeta Luizer Mbutu amesema mazishi ya MCD yatafanyika kesho Moshi mjini ili wafanyakazi pamoja na marafiki wa marehemu waweze kushiriki mazishi hayo.

CONVERSATION

0 comments :

Post a Comment

Back
to top